Verse i
Bongo movie, bongolala bongo muziki
Taaluma isiyo vigezo na ubongo hautumiki
Taaluma taa ya kichwa taa ya Umma
Nkrumah chuo kikuu, I know i knew
Maria mama manu, haina usamaria
baharia aliyeweka miguu
Harakati magirini, sikumbisi Mr II
Kwenye moto hakuna madini, joto one two, watu..
midundo ni mandugu DIG, Miondoko BIG
Uwasili ni mia, hapa jagi siwaachii
Nakuumizia umbali mrefu sana, shinda Chi-Power
Nguvu ufahamu, let me emcee sawa
ni tiba tibia hawa wana wa Adam na Hawa
New skul, old skul masantulah!
New skul, old skul masantulah!
Kizamani kisasa, samba mapangalah!
Kizamani kisasa, samba mapangalah!
Jhea
Nifiche kweli, mishe wangu wa pale kitaani ni la hasha
siku hizi hakuna kazi za wito
nyimbo nyingi hazina pumzi ya kumaliza intro ghetto
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva
Verse ii
Jhea
Mnaleta emotional, kwenye rap shinda hawa best singers
nusu mtu nusu muujiza, kitu gani sina
machizi...Tinga
weusi...Jina
Arusha...China
Ukweli ndo safina
wapi wanangu wa unga limited
wananiita zungu la flow, unlimited
heko sinoni mpaka keko, nipeni toka metro
kitambo ni za moto, zikiwaunguza
babylon system ngoma ni ngumu, ngumu
huu mwenendo vipi chama kidumu
kama hukumjali daktari, vipi hawa maaskari
basi na iwekeni wazi kwamba rushwa ni halali
kumi na nane mkibana nazifungia mbali
mimi ni nani sio kazi yangu kaulize mitaani
mishahara haitoshi thats why
Mnaendesha ng'ombe weusi sio makhsai
sifungulii milango stress mbona mtafurahi
Biashara na mambo za kujuana ndo haifai
Mapigo is on the menu bye bye
Msikatiki soma yenu nai nai
Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva
Verse iii
Kiutu uzima, hapotezei ngoma kali za machizi
ni maigizo, mlikuwa busy, kwa upuuzi mnao release
ji'squeeze halafu freeze, gwara kwa mwanangu Izzy
Ni baraka pande hizi, asante zote kwa Mwenyezi
ah, nachange flow kama Bureau hey hey
hizi ndo zile mnakeshaga, mkiomba kona Hazitokei
ninazo nyingi kama mkwanja kwenye akaunti ya Kimei
Planet hakuna usalama, Bongo naisomea UK
Kimsingi sijaishi kwingi kama mengi niliyoyaona
toka mtaa niliozaliwa pale jobless corner
nashindwa kuelewa mnapokosa vya kuchana
na kwa hii mafanikio, si mswahili kuwa stunner
na misimu huishtukii, hujui ni summer?
Joh niko na Pensi, show zangu nyeusi
ndo hurusha mabinti fence
na mivungo ndani ya club, ni ma v boy stance
Ill be chilling in the club with my B Boy stance
Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva