Sunday, December 23, 2012

KWA FANS WA PAH-ONE HII INAWAHUSU..

PAH-1 WAKUBALI USHAURI WA MASHABIKI WAO KUFANYA SOLO KUANZIA MWAKANI..

Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini maarufu kama Pah one baada ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa mashabiki wao kuhusiana na kazi zao za muziki,sasa leo wameamua kufunguka na kusema kwamba mwakani kila mmoja ataanza rasmi kuandaa album mpya na sababu iliyowafanya mpaka kufanya hivi ni mashabiki  kwa mujibu wa Nahreel anasema kwamba wameamua mwakani kila mmoja atakuwa akifanya ngoma au album lakini  kuhusu  Pah one itabaki kuwa pale pale na sio kama ndiyo imekufa ila watapumzika kwa muda mfupi kwa ajili ya kila mmoja akiandaa single mpya kwa mashabiki zao.Info kamili by Nahreel.

Source: fetty@blog

UMEINYAKA HII

 ‘Dudu’ ndio ngoma mpya ya mduara kutoka kwa bibiye Shilole ambayo ameitambulisha rasmi juzi katika FNL ya EATV  na jamaa aliyeshirikishwa humo ni mkali wa sauti toka kitambo Q-chief

Ngoma hiyo iliyotawaliwa na nyonga za kufa mtu, Shilole katoka kitofauti kidogo na ngoma zake tulizozizoea maana alitupia vazi la shela kama vile anakwenda kufungishwa ndoa kanisani na mchungaji na kumbe swaga tu mziki.



“Mi huwa napotoa kitu huwa sibahatishi na huu ni mwanzo tu wanaosubiri mi nishuke chini nawaambia wajipange sana maana niko kamili gado kivyote kuanzia muziki hadi katika kazi zangu za filamu”. Alisema Shilole

Shilole huko nyuma ngoma yake ya kwanza aliyotoa ilijulikana kwa jina la ‘Nyumba za kupanga’ ambayo pia alimshirikisha Qcheif ilifanya pouwa sana katika gemu, mpango mzima sasa ni kusubiri tuone hiyo ‘dudu’ yake kama itafanya pouwa au mbwembwe tu.

Source: EATV

Tuesday, December 18, 2012

Beauty and a Beat Justin bieber feat Nick minaj Video


My city my town Prezzo and Cannibal Official video


Nataka kulewa- Diamond video


Manuva Joh Makini Lyrics...


Verse i
Bongo movie, bongolala bongo muziki
Taaluma isiyo vigezo na ubongo hautumiki
Taaluma taa ya kichwa taa ya Umma
Nkrumah chuo kikuu, I know i knew
Maria mama manu, haina usamaria
baharia aliyeweka miguu
Harakati magirini, sikumbisi Mr II
Kwenye moto hakuna madini, joto one two, watu..
midundo ni mandugu DIG, Miondoko BIG
Uwasili ni mia, hapa jagi siwaachii
Nakuumizia umbali mrefu sana, shinda Chi-Power
Nguvu ufahamu, let me emcee sawa
ni tiba tibia hawa wana wa Adam na Hawa
New skul, old skul masantulah!
New skul, old skul masantulah!
Kizamani kisasa, samba mapangalah!
Kizamani kisasa, samba mapangalah!
Jhea
Nifiche kweli, mishe wangu wa pale kitaani ni la hasha
siku hizi hakuna kazi za wito
nyimbo nyingi hazina pumzi ya kumaliza intro ghetto
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto

Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva


Verse ii
Jhea
Mnaleta emotional, kwenye rap shinda hawa best singers
nusu mtu nusu muujiza, kitu gani sina
machizi...Tinga
weusi...Jina
Arusha...China
Ukweli ndo safina
wapi wanangu wa unga limited
wananiita zungu la flow, unlimited
heko sinoni mpaka keko, nipeni toka metro
kitambo ni za moto, zikiwaunguza
babylon system ngoma ni ngumu, ngumu
huu mwenendo vipi chama kidumu
kama hukumjali daktari, vipi hawa maaskari
basi na iwekeni wazi kwamba rushwa ni halali
kumi na nane mkibana nazifungia mbali
mimi ni nani sio kazi yangu kaulize mitaani
mishahara haitoshi thats why
Mnaendesha ng'ombe weusi sio makhsai
sifungulii milango stress mbona mtafurahi
Biashara na mambo za kujuana ndo haifai
Mapigo is on the menu bye bye
Msikatiki soma yenu nai nai

Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva

Verse iii
Kiutu uzima, hapotezei ngoma kali za machizi
ni maigizo, mlikuwa busy, kwa upuuzi mnao release
ji'squeeze halafu freeze, gwara kwa mwanangu Izzy
Ni baraka pande hizi, asante zote kwa Mwenyezi
ah, nachange flow kama Bureau hey hey
hizi ndo zile mnakeshaga, mkiomba kona Hazitokei
ninazo nyingi kama mkwanja kwenye akaunti ya Kimei
Planet hakuna usalama, Bongo naisomea UK
Kimsingi sijaishi kwingi kama mengi niliyoyaona
toka mtaa niliozaliwa pale jobless corner
nashindwa kuelewa mnapokosa vya kuchana
na kwa hii mafanikio, si mswahili kuwa stunner
na misimu huishtukii, hujui ni summer?
Joh niko na Pensi, show zangu nyeusi
ndo hurusha mabinti fence
na mivungo ndani ya club, ni ma v boy stance
Ill be chilling in the club with my B Boy stance

Chorous
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva, leta...manuva
Joh Manuva wa Mandugu Digi(tal), dunga za moto
leta...manuva, leta...manuva
leta...manuva

Pete by Ben pol Lyrics

Verse i
Hadithi ya penzi langu umenikata nini mwisho
huthamini huoni pendo lako nalihitaji leo kesho
Nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka
Mchana na usiku mimi, nishawahi kukosa
Nasema niliteseka mchana na usiku mimi
Nishawahi kukosa ,mwenzenu nilisumbuka
Mchana na usiku mimi, sitaki tena kosa
najua nitateseka
mwisho sitokuwa nawe tena naulizaa
 
 
Chorus
Kama pete yangu, inakuchomaa kidoleni
Na kama pendo langu , linakuchoma moyonii ,
Bora kuitoa aaah aah ,
Pendo kulivua aaah ,
Bora kuitoa ,
Moyoni mwangu mi nisiteseke
Bora kuitoa aaah aa ,
Pendo kulivua aaah ,
Bora kuitoa ,
Moyoni mwangu mi nisiteseke
 
Verse ii
Sikujali wambea wanafki walosema
Hatutadumu mimi nawe tutajaachana
Wakiniona siko nawe si ndo watasema
Hata nyumbani watajua tumefarakana
Nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia
Maana bado nakujali ,kwako nilishatua
Nikiwaza kwenda mbali ,moyoni nahofia
Maana bado nakujali ,kwako nilishatua
Kila jema n’tendalo mie ,kwako limekuwa sio
Nitakapo kujua ulipo ,wanijibu utakavyo
Pete kidoleni mwako ,yanisuta mwenzio
Ndo maana nikukosapo ,moyo wanienda mbio
 
Rudia kiitikio............