PAH-1 WAKUBALI USHAURI WA MASHABIKI WAO KUFANYA SOLO KUANZIA MWAKANI..
Wasanii wa kizazi kipya hapa nchini maarufu kama Pah one baada ya kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa mashabiki wao kuhusiana na kazi zao za muziki,sasa leo wameamua kufunguka na kusema kwamba mwakani kila mmoja ataanza rasmi kuandaa album mpya na sababu iliyowafanya mpaka kufanya hivi ni mashabiki kwa mujibu wa Nahreel anasema kwamba wameamua mwakani kila mmoja atakuwa akifanya ngoma au album lakini kuhusu Pah one itabaki kuwa pale pale na sio kama ndiyo imekufa ila watapumzika kwa muda mfupi kwa ajili ya kila mmoja akiandaa single mpya kwa mashabiki zao.Info kamili by Nahreel.
Source: fetty@blog
No comments:
Post a Comment