JOH MAKINI ATOKA KI UTU UZIMA
Msanii rapper kutoka Arusha, maarufu kama Joh Makini Mwamba wa kaskazini baada ya kufanya vizuri mwaka jana katika tasnia hii ya muziki wa Bongo Fleva,mwaka huu amejipanga vema na siku za hivi karibuni anatarajia kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la KI-UTU-UZIMA.Kaa tayari kwa uji huo mpya kutoka kwa Joh Makini
No comments:
Post a Comment