MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment