Wakali wa Hiphop Music Bongo, Nikki Mbishi na Godzilla ambao wote walipata nafasi ya kusikika baada ya mashindano ya Freestyle ambayo yalikua yakiendeshwa na Clouds fm wameamua kufanya Project ya pamoja.
Nikki Mbishi ambaye alitamba na track ya Playboy ambayo alimshirikisha Ben Pol, jana kwenye ukurasa wake wa Facebook ali-announce mpango wa kufanya Project hii na Godzilla, Nikki aliandika:
"Nikki Mbishi na Godzilla kazini, jiandae kwa Mixtape yetu ya pamoja iitwayo 'KKK'..."
No comments:
Post a Comment